Vanessa Mdee awachana wanaomzungumzia Jux
Akiwa bado anaandamwa katika mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuvunjika kwa uhusiano wake na msanii mwenzake, Juma Khalid ‘Jux’, staa wa Bongo Flava, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa hawezi kumzuia mtu kusema chochote juu yao.