RC Makonda atoa ufadhili kwa watoto sitini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo Juni 22 ametimiza ahadi ya kutoa ufadhili wa matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 10 kati ya 60 alioahidi kugharamia matibabu yao hadi pale watakapopona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS