Mbasha afunguka miaka 5 bila kukutana na mwanamke Emmanuel Mbasha Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa yupo Single kwa miaka mitano sasa na hajawahi kukutana na mwanamke tangu alipoachana na mke wake Flora Mbasha. Read more about Mbasha afunguka miaka 5 bila kukutana na mwanamke