Stars yajifungia kuivaa Senegal, hakuna kulala

Mshambuliaji, Adi Yussuf (kinyozi) akiwanyoa Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kuelekea mchezo dhidi ya Senegal

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' inatarajia kushuka dimbani hii leo kuvaana na Simba wa Teranga, Senegal katika mchezo wa kwanza wa michuano ya AFCON.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS