Bashiru Ally 'afafanua' ununuzi wa ndege Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Bashiru Ally amehoji juu ya watu wanaodai kuwa uchumi wa Tanzania haukui na kueleza kuwa isingeweza kununua ndege nyingi kwa wakati mmoja. Read more about Bashiru Ally 'afafanua' ununuzi wa ndege