Mwanamke amuua mwanaye kisha kumpika supu Geita
Katika hali inayositaajabisha na kuacha maswali mengi, mwanamke mmoja mkazi wa Kitongoji cha CCM,Kijiji cha Buligi Kata ya Senga Wilayani Geita, Happnes Shadrack (36), anayedaiwa ni mgonjwa wa akili, amemuuwa mwanaye wa kumzaa, Martha Yakobo (1), kwa kumkatakata vipande vidogovidogo kisha