Kangi ashangazwa, waliofutiwa kesi kusota kituoni

Waziri Kangi Lugola

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha Polisi Gogoni kilichopo Wilaya ya kipolisi Kimara, jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuangalia utendaji kazi vituoni hapo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS