Wanafunzi wa kike na kiume wakutwa wakiishi pamoja Wanafunzi Wanafunzi watatu wa kike wa darasa la saba katika shule ya msingi Nyamalele wilayani Geita wamekamatwa katika nyumba wanayoishi wanafunzi wenzao wa shule ya sekondari ya Nkome. Read more about Wanafunzi wa kike na kiume wakutwa wakiishi pamoja