Fahamu zaidi kuhusu wasifu wa wachezaji wa Senegal
Wafahamau zaidi wachezaji wa First Eleven ya Senegal dhidi ya Taifa Stars, kwenye fainali za AFCON 2019, iliyopigwa Juni 23, 2019 kwenye uwanja wa Juni 30 jijini Cairo na Stars kupoteza kwa goli 2-0.