Nandy atoa zawadi ya Gari Nandy akiwa pamoja na mpiga picha wake. Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Faustina Mfinanga 'Nandy' amemzawadia gari mpiga picha wake anayefahamika kwa jina la Alley katika siku yake ya kuzaliwa. Read more about Nandy atoa zawadi ya Gari