Amunike awajibu watanzania kuhusu Taifa Stars Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike Kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amesema katika vitu ambavyo hana mashaka navyo kwenye kikosi chake ni ubora wa wachezaji alionao kwenye kikosi chake. Read more about Amunike awajibu watanzania kuhusu Taifa Stars