Mbunge CCM ahoji matumizi ya kondomu
Mbunge wa Ulanga Gudluck Mlinga, amehoji juu ya matumizi ya mipira ya kiume (Kondomu) kwa wanawake na wanaume, kwa kile alichokidai kuwa licha ya mipira hiyo kuwepo kumekuwa na idadi kubwa ya ongezeko la watoto wa mitaani.