Ndugai ataka tamko la serikali kuhusu Jaguar Spika Ndugai na Jaguar Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameitaka serikali kutoa tamko kufuatia kauli yenye kuashiria ubaguzi aliyoitoa mmoja wa wabunge wa Kenya. Read more about Ndugai ataka tamko la serikali kuhusu Jaguar