Kenya yamkana Jaguar Serikali ya Jamhuri ya Kenya imewahakikishia usalama raia wa kigeni wanaotoka nje ya nchi, ambao wako nchini humo kwa ajili ya kufanya biashara ambapo wameeleza Kenya itaendelea kushirikiana na mataifa mengine. Read more about Kenya yamkana Jaguar