Masharti ya Dogo Janja kwa wanaotaka kolabo Msanii wa Bongo fleva nchini Dogo Janja ametaja vigezo viwili vya msanii kupata kolabo na yeye, kwanza lazima msanii huyo awe na kipaji cha hali ya juu au itokee neema ya Mungu ndiyo ashirikiane nayeye. Read more about Masharti ya Dogo Janja kwa wanaotaka kolabo