Baada ya kuitwa Taifa Stars, Kaseja atoa kali
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu nahodha wa klabu ya KMC Juma Kaseja, aitwe kwenye kikosi cha Taifa Stars kitakachoshiriki michuano ya CHAN hatua ya kuwania kufuzu fainali, Kaseja hana muda wa kupumzika.