Hatimaye Jaguar adondokea jijini Dar es salaam Jaguar Msanii na Mwanasiasa katika ngazi ya ubunge wa jimbo la Starehe nchini Kenya Charles Njagua maarufu kama Jaguar, ameonekana kutembelea nchini Tanzania katika miji ya Dodoma na Dar Es Salaam. Read more about Hatimaye Jaguar adondokea jijini Dar es salaam