Mawigi yaleta kizaazaa Bungeni, wanaume waonywa Picha za nywele bandia. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Taska Mbogo amewaonya wabunge wanaume wanaoshangilia ongezeko la kodi katika bidhaa za urembo ikiwemo nywele bandia (mawigi). Read more about Mawigi yaleta kizaazaa Bungeni, wanaume waonywa