Simba yatoa tamko safari ya Kapombe kwenda Ulaya Shomari Kapombe Wakati huu ambao usajili wa wachezaji kwenye vilabu mbalimbali ikiwemo vya Ligi kuu soka Tanzania bara unaendelea, klabu ya Simba imemwongeza mkataba mlinzi wake wa kulia Shomari Kapombe. Read more about Simba yatoa tamko safari ya Kapombe kwenda Ulaya