Simba kubadili mipango yake, yatoa sababu Wachezaji wa Simba Baada ya shirikisho la soka barani Afrika (CAF), kutangaza ratiba ya michezo ya hatua ya awali ya Ligi ya mabingwa na Kombe la shirikisho kwa msimu wa 2019/20, klabu ya Simba imesema itabadili ratiba yake. Read more about Simba kubadili mipango yake, yatoa sababu