Mwenyekiti wa Yanga atoa siku nne Afisa habari wa Yanga Dismas Ten (kushoto) na Mwenyekiti Mshindo Msola. Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia mwenyekiti wake Mshindo Msolla, umetoa siku nne kwa wale wote wanaotumia nembo ya klabu kujinufaisha. Read more about Mwenyekiti wa Yanga atoa siku nne