Musonye azipiga dongo lingine Simba na Yanga
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye amezijia juu kwa mara nyingine klabu za Simba na Yanga kufuatia kutohudhuria michuano ya Kagame Cup iliyomalizika hapo jana.