Watanzania 9 wauawa Msumbiji, IGP Sirro aweka wazi IGP Sirro Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watanzania wapatao 9 wameuawa na wengine 6 kujeruhiwa nchini Msumbiji ambako walikwenda kujitafutia riziki. Read more about Watanzania 9 wauawa Msumbiji, IGP Sirro aweka wazi