T Touch ajibu kuhusu kupangishiwa studio Mr. T Touch Mzalishaji 'producer' mkali wa ngoma za Bongo Fleva ambaye pia ni msanii, Mr. T Touch amejibu tetesi kuhusu kupewa pesa za kupangisha studio yake maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Read more about T Touch ajibu kuhusu kupangishiwa studio