Jukumu la kwanza la Bashe baada ya kufika ofisini
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, ameongoza kikao cha viongozi wa juu wa Wizara ya Kilimo, kwa kukutana na Naibu Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ikiwa ni saa chache baada ya Bashe kuapishwa na Rais Magufuli.