Kibonge mwepesi 'amu-diss' Anthony Joshua Andy Ruiz Jr Bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Andy Ruiz Jr, amemtambia Anthony Joshua kwa kusema sio bondia mzuri akiwa ulingoni na hata wakirudia mechi atamchapa tena. Read more about Kibonge mwepesi 'amu-diss' Anthony Joshua