Mauaji ya watanzania 9 yaondoa mipaka Msumbiji
Siku chache baada ya Watanzania 9 kuuawa mkoani Mtwara, mpakani mwa Tanzania na Msumbiji IGP Simon Sirro na IGP wa Msumbiji Bernardino Rafael, wamekutana ili kupanga namna ya kuwanasa watuhumiwa na tukio hilo.