Mambo yalivyo katika uwanja wa Simba Uwanja wa klabu ya Simba uliopo Bunju Ndoto ya Simba kumiliki uwanja wake wa mazoezi inaelekea kukamilika kutokana na uwekezaji wanaoufanya katika uwanja wake wa Bunju. Read more about Mambo yalivyo katika uwanja wa Simba