Yesu feki aliyetembelea Kenya adaiwa kufariki Michael Job akiwa anaongea nchini Kenya. Michael Job raia wa Marekani ambaye ni mhubiri na muigizaji anayeidaiwa kuwa Yesu Feki, ameripotiwa kufariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali moja nchini Kenya. Read more about Yesu feki aliyetembelea Kenya adaiwa kufariki