RPC aeleza Ofisa wa Serikali alivyouawa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Jumanne Muliro amethibitisha kufariki dunia kwa watu wanne akiwemo Ofisa Uvuvi wa Kanda ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza, Ibrahim Jalali baada ya kuzuka kwa vurugu baina ya wavuvi na Kikosi maalum cha kupambana na uvuvi haramu.