Mbaroni wakiuza Juice ya nguvu za kiume

Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA), imewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuuza juisi ya tende iliyochanganywa na dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kitendo kilichoelezwa kuwa si cha kibinadamu kwani dawa hizo huwa zinatolewa kwa utaratibu maalumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS