Skales aelezea mama yake alivyonyanyaswa kingono Msanii Skales Staa wa muziki Skales, kutoka nchini Nigeria , ameeleza mkasa uliowahi kumkuta mama yake mzazi ni kunyanyaswa kingono na kufanyiwa vitendo vya kikatili na baba yake mzazi. Read more about Skales aelezea mama yake alivyonyanyaswa kingono