Irene Uwoya aitwa Central Polisi
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Camilius Wambura, amethibitisha kumuita msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya na Steve Nyerere, kufuatia kitendo alichokifanya cha kuwarushia pesa, wanahabari katika mkutano uliofanyika mapema mwa wiki hii.