Hawa ndio wafanyakazi 183 waliosimamishwa kazi

Waziri wa Ardhi William Lukuvi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewasimamisha kazi watumishi 183 wa wizara hiyo kuanzia jana Agosti 7, 2019, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS