Kesi ya kutekwa Mo Dewji, watano kukamatwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 23, imetoa hati ya kuwakamata raia wanne wa Msumbiji na mmoja wa Afrika Kusini, kwa lengo la kufikishwa mahakamani hapo na kuunganishwa katika mashtaka ya kumteka Mohammed Dewji.