Makamba aja na njia ya kuondosha chupa za Plastiki
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano Mazingira January Makamba, amesema, Serikali itaweka utaratibu wa kuziondoa chupa za plastiki, ambazo hazina soko na haziwezi kurejereshwa upya, kwa kuwa zinaonekana kuzagaa na kuchafua mazingira.