'First 11' ya Simba 2019/20 yawakosha mashabiki Baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na Simba Wakati usajili mbalimbali ukiwa unaendelea kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania bara, mashabiki nao hawako nyuma kufuatilia kinachoendelea katika klabu zao. Read more about 'First 11' ya Simba 2019/20 yawakosha mashabiki