Ushahidi wa mauaji, washindwa kuteketezwa
Uteketezwaji wa vielelezo vilivyotumika katika kesi ya mauaji, ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica Humphrey Makundi, umeshindwa kuteketezwa leo Julai 3, baada ya wateja upande wa mawakili watetezi kutokuwepo Mahakamani hapo.