Shule ya msingi Turiani wapokea taulo za kike
Katika kuhakikisha wanafunzi wa kike katika shule mbalimbali nchini wanasoma bila kupata changamoto ya kukosa masomo wakati wa hedhi, East Africa Television LTD kupitia kampeni yao ya NAMTHAMINI imeendelea kuwapatia taulo hizo.