Wawili wafariki kwa kufukiwa na kifusi

Wachimbaji wadogo wa madini. Picha haihusiani na habari

Wachimbaji wawili wa Dhahabu katika kijiji cha Izumbi, Sangamba Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika Mgodi wa Mwembe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS