Kuachiwa huru kwa Wema kizaazaa, akamatwa tena Wema Sepetu Mahakama Hakimu Kazi Kisutu leo Julai 4 imemuachia huru msanii wa filamu nchini, aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu lakini baada ya muda mfupi, Askari Magereza wakamkamata tena. Read more about Kuachiwa huru kwa Wema kizaazaa, akamatwa tena