Ajib aacha ujumbe mzito Yanga Ibrahim Ajib Aliekuwa nahodha wa klabu ya Yanga, Ibrahim Ajib ameacha ujumbe wa mwisho kwa mashabiki pamoja na uongozi wa klabu hiyo, aliyodumu nayo kwa misimu miwili. Read more about Ajib aacha ujumbe mzito Yanga