DKT. Gwajima azindua kampeni kukabili ukatili
Kampeni ya ‘Badilika Tokomeza Ukatili’ imezinduliwa katika maandamano yaliyoongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na wananchi katika uwanja wa Mwanga Center Kigoma.