Samatta awakumbuka viongozi wa Simba na TFF
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amebainisha kuwa amejaribu kuwatembelea gerezani viongozi wa zamani wa klabu ya Simba ambao ni makamu wa Rais Godfrey nyange 'kaburu' na Rais wa TFF, Jamali Malinzi lakini hakufanikiwa kuwaona.