Hapa ndipo walipofikia Foby na Hamisa Mobetto Foby na Hamisa Msanii na mwandishi wa ngoma za Bongofleva Foby, amesema kwasasa wamemaliza tofauti kati yake na Hamisa Mobetto, ambaye ni mwanamitindo na mwimbaji pia. Read more about Hapa ndipo walipofikia Foby na Hamisa Mobetto