Waziri Makamba atoa mwongozo magari ya umeme Magari ya umeme Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amesema ni lazima athari za usafiri wa magari ya umeme kwenye mazingira ziangaliwe kabla ya huduma hiyo kuanzishwa. Read more about Waziri Makamba atoa mwongozo magari ya umeme