Familia ya msaidizi wa Membe yaomba msaada
Familia ya msaidizi wa Bernard Membe, Allan Kiluvya anayedaiwa kutekwa usiku wa kuamkia Julai 7, imeomba msaada baada ya kufanya jitihada za kumtafuta vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar Es Salaam bila mafanikio.