Snoop Dogg awakingia kifua wanasoka wa kike

Uncle Snoop Dogg

Mkongwe wa muziki wa hiphop duniani 'uncle' Snoop Dogg, ameonekana kuwapigia debe timu ya taifa ya soka la wanawake ya Marekani, kwa kutaka walipwe pesa nyingi baada ya timu hiyo kuchukua ubingwa wa dunia kwa upande wa wanawake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS