"Chin Bees ananitafuta, aje nimuoneshe" - Country Chin Bees na Country Boy Wakali wa muziki wa Trap bongo, Chin Bees na Country Boy wameendelea kuvimbiana katika 'Interviews' huku kila mmoja akijipiga kifua kwamba ni bora. Read more about "Chin Bees ananitafuta, aje nimuoneshe" - Country