Vodacom kuwaongezea miamala wateja Mkurugenzi wa M-pesa Epimark Mbeteni. Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imeanzisha huduma inayomuwezesha mteja, kuongezewa muamala wa pesa pindi anapopungukiwa. Read more about Vodacom kuwaongezea miamala wateja